94.3 FM   ·   WANGINGOMBE, NJOMBE
94.3
Enock Kiswaga — Mkurugenzi Mtendaji wa Wende FM 94.3
Karibu Wende FM 94.3

Enock Kiswaga

Mkurugenzi Mtendaji · C.E.O

Wende FM ni redio ya Wangingombe, Njombe inayounganisha jamii kwa habari, elimu na burudani. Kauli yetu ni “Nguvu ya Upendo” — tunatoa nafasi kwa sauti na hadithi za watu wetu.

Habari

Taarifa zinazoihusu jamii yetu na yanayotokea karibu nasi.

Elimu

Maarifa na mazungumzo yanayosaidia kujenga jamii.

Burudani

Muziki, vipindi na vipaji vinavyotuunganisha.

SIKILIZA WENDE FM